Ninaunda mifumo thabiti ya kidijitali chini ya chapa ya Cyber Hunter, kuanzia Mobile & Web Apps, mifumo ya malipo ya FinTech, hadi usimamizi salama wa seva (DevOps).
Mimi ni mhandisi wa programu mwenye uzoefu wa vitendo katika kuunda mifumo inayohimili mzigo mkubwa, kuanzia uandishi wa msimbo safi hadi kusimaza VPS na miundombinu ya seva. Focus yangu ni kuleta matokeo chanya ya kibiashara kupitia mifumo ya kisasa.
Uundaji wa mifumo ya kisasa ya web na mobile applications (Android/iOS) kwa kutumia Flutter na React.
Kuunganisha mifumo ya malipo ya simu (Selcom, Push USSD), payment gateways, na kuanzisha automated digital storefronts.
Usimamizi thabiti wa Ubuntu Linux servers, usanidi wa VPS, Nginx reverse proxy na deployment salama yenye SSL.
Kujenga API mahususi pamoja na roboti wa kiotomatiki (WhatsApp na Telegram Bots) kurahisisha kazi zako.